DRC

Serikali ya Congo yatangazi baraza la mawari baada ya miezi kadhaa tangu uchaguguzi wa decembre elfu mbili ishirini na tatu

MEI 29, 2024
Border
news image

Serikali ya Congo yatangazi baraza la mawari baada ya miezi kadhaa tangu uchaguguzi wa decembre elfu mbili ishirini na tatu.

Bada ya kuteuliwa kama waziri mkuu wa seeikali ya DRC siku zilizo pita ,Judith Suminwa imetua timu la mawaziri tangu Jumatano, Mei 29. Timu hiyo ikiwa na mawaziri Hamsini na nne (54) .

Utafahamu kwamba kwamba serikali ilio pita yake Sama Lukonde ilikuwa na mawaziri hamsini na saba (57).

Serikali ya sasa ikiwa na wanawake 18, ikiongeza idadi ya wanawake katika serikali ikiwa kama asili mia 32% kwa uwakilishi wa wanawake.

Timu hiyo mpya ya serikali inajumuisha manaibu waziri mkuu 6, mawaziri 9 wa serikali, mawaziri 24, wajumbe 4 na naibu mawaziri 10.

Hapa kuna muundo wake wa jumla:

I. Naibu Mawaziri Wakuu

1. Naibu Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Ndani, Usalama na Mambo ya Kimila: Jacquemin Shabani

2. Naibu Waziri Mkuu, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano: Jean-Pierre Bemba

3. Naibu Waziri Mkuu, Waziri wa Ulinzi wa Taifa na Wastaafu: Guy Kabombo Muadiavita

4. Naibu Waziri Mkuu, Waziri wa Uchumi wa Taifa: Daniel Mukoko Samba

5. Naibu Waziri Mkuu, Waziri wa Utumishi wa Umma: Jean-Pierre Liahu

6. Naibu Waziri Mkuu, Waziri wa Mipango: Guylain Nyembo

II. Mawaziri wa Nchi

1. Kilimo: Grégoire Mutshaili

2. Mambo ya Nje: Thérèse Kayiwamba

3. Elimu ya Taifa: Raissa Malou

4. Mazingira: Eve Bazaiba

5. ITPR: Alexis Gisaro

6. Bajeti: Aimé Boji

7. Masuala ya Ardhi: Acacia Bandubola

8. Maendeleo Vijijini: Muhindo Nzangi

9. Kubuni: Guy Loando

III. Mawaziri

1. Fedha: Doudou Fwamba

2. Viwanda: Louis Kabamba

3. Rasilimali za Kihaidroli: Teddy Mwǎmba

4. Migodi: Kizito Pakabomba

5. Hydrocarbon: Molendo Sakombi

6. Kazi: Ephraïm Akwakwa

7. Mipango miji: Crispin Bandu

8. Haki za binadamu: Chantal Shambu

9. Afya: Samuel Roger Kamba

10. Elimu ya juu: Safi Sombo

11. Utafiti wa kisayansi: Gilbert Kobanda

12. Machapisho ya simu na kidijitali: Kibasa Maliba

13. Kwingineko: Jean-Lucien Busa

14. Masuala ya kijamii: Nathalie Munana Aziza

15. Biashara ya nje: Julien Paluku

16. Utangamano wa kikanda: Didier Mazenga

17. Mawasiliano na Vyombo vya Habari: Patrick Muyaya

18. Mafunzo ya kitaaluma: Marc Ekila

19. Jinsia: Léonie Kandolo

20. Uvuvi na ufugaji: Jean-Pierre Tshimanga

21. Utamaduni: Yolande Ebende

22. Utalii: Didier Pampia Musanga

23. Michezo: Didier Budimbu

24. Vijana: Noëlla Ayenagato

IV. Mjumbe wa mawaziri

1. Mambo ya Nje: Bestine Kazadi

2. Mipango miji: Didier Tenge te Litho

3. Mazingira: Stéphanie Mbombo

4. Masuala ya kijamii: Irène Esambo

MTV