DRC

S.E.M LUKUMWEMA NSENDA, balozi wa jamuhuri ya kidemocratia ya kongo inchini japani, apokelewa na Waziri wa maendeleo MUHINDO NZANGI Butondo Mjini Kinshasa

AGOSTI 09, 2024
Border
news image

Mwanadiplomasia huyo wa kongo nchini japani,amesema kuboresha secta ya Ya maendeleo ya vijiji DRC ndio kiini cha mazungumzo hyao nae Muhindo Nzangi ,kufikiria zaidi kuhusu uwezekano wakufanya kwa ajili ya maendeleo ya taifa la Congo DRC Pamoja na kuunganisha inchi kwa njia za Barabara na maji.

Balozi akisema kwamba tayari kuna miradi ambayo imehimizwa kwa malengo hayo.

Akisema Balozi wakongo japani kwenye mtazamo wake na DRC wanaungana kuhusu maendeleo endelevu kwa njia mbalimbali,zaidi sana maendeleo ya vijiji nakudokeza kwamba uhusiano wa japani na Jamuhuri ya kidemocratia ya kongo ni Salama.

AM/MTV News DRC