DRC
Rais Felix Tshisekedi wa Congo afanya mkutano na mabalozi wapya kutoka Bara la Ulaya na mashariki ya kati Mjini Kinshasa
SEPTEMBA 1, 2023
Tafrija ya mapokezi ya Mabalozi 4 kati yao kukiwa wana wake 2 , ili fanyika katika jengo la "Cité de l'UA" alhamisi Oktoba 31 katika mji mkuu wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo.
Rais wa DR. Congo ali watakia Mabalozi wote ujio mwema nchini DRC , miongoni mwao ni pamoja na Bwana Anwar Orthman Barout Albarout Albaroudi toka Nchini ya falme za kiarabu , Bi Roxane De Bilderling toka Ubelgiji , Bi Angele-Marianne Van Der Heijden Samura tokea Huolanzi aidha M.Odd Molster toka Nchini Norway .