DRC/BENI

Polisi Katika Mjini wa Beni Yapiga Marufuku Mzunguko wa Gari Ambazo Zina Viyoo vya Giza Pamoja na Mwito kwa Waendesha Piki Kushika Kanuni katika Uegeshaji wa Pikipiki Zao

news image
MTV
FEBRUARI 24, 2024
Border
news image

Katika tangazo la kamanda wa polisi ahusikae na usalama barabarani PCR, kamisa mkuu makamu MUKE NTANYANYA Adolphe ameomba watumiaji wa magari inayo kuwa na viyoo vyeusi kuondoa kwa maramoja kwa ajili ya usalama kwani mabandia wamekuwa wakitumia magari inayo jificha .akizungumuza na vyombo vya habari juma Tano 21 feb. msemaji wa polisi mjini BENi ,NASSON MURARA alisema amri hiyo imechukuliwa na viongozi wa mahali ili waendesha pikipiki Ndani ya mji Beni waweze heshimu hatua ya viongozi .

Na Mnukuu

"Tuko hapa kwakuleta ujumbe wetu kwa waendesha piki piki wote wanao fanya kazi ya usafirishaji Ndani ya mji wa Beni kuweza kuheshimu nakutizama namna yakupaki pikipiki zao Ndani ya parkings Zao kote mji BENI,sababu baada ya masaha 48 kuanza hii juma Tano,kutafanyika musako na PCR yaaani polisi inayo husika na usalama"

MTV