DRC GOMA

MUTU MMOJA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUPIGWA RISASI NA POLISI WAKATI WA MAANDAMANO MJINI GOMA .

March 01, 2024
Border
news image

Shughuli za kibiashara zilikwznda mrama katika eneo la Majengo Mjini GOMA kufatia mgono ulio anjishwa na kundi moja la vijana ambao walikuwa wame ziba barabara sehemu za Mutinga Karacholine.

vijana walio kuwa wakiunga mkono mbunge mmoja waliandamana katika kile wanacho kiita ukiukwaji wa haki na mahakama Mjini Goma baada korti kuu mjini Goma kutangaza keshi kinyume na matarajioni yako. Kesi ilio kuwa ikilenga matokeo ya uchaguzi ulio pita ambao wengi walilalamikia kuwa waliiba kura zao ,Daniel Nzughundi kupoteza kiti chake Bungeni kivu kaskazini.

Daniel Nzughundi Ali tangazwa na tume huru ya uchaguzi kuwa mmoja wa washindi wa uchaguzi Mjini Goma lakini kwasasa mahakama imemtangaza Mutiri wabashara kuwa ni yeye mshindi ,ikiwa ndio sababu za vurugu mjini Goma .

NDIWELUVULA BIN MUTUME MTV NEWS Online