DRC

Msako DRC dhidi ya jambazi wanao yumbisha usalama ya raia

OKTOBA 19, 2024
Border
news image

Jeshi la jamhuri yakidemokrasia ya Congo na polisi watangaza kuwashika jambazi tano wanayo yumbisha usalama katika mji mdogo wa KASINDI-LUBIRIHA mpaka na jamhuri ya Uganda.kanali MAK HAZUKAY msemaji wa jeshi la Congo FARDC kaskazini mwa mkoa wa kivu kaskazini katika opereshi za kijeshi SOKOLA 1 amesema kwamba,jambazi hao wameshikwa katika msako wa pamoja FARDC na POLISI.miongoni mwa hao kuna mmoja alishikwa na silaha yake aina ya AK-47.

Mtv ya fuatilia kwa karibu

Germain HASSAN KYAHWERE