DRC

Mkutano Wa Kimkakati wafanyika Lubumbashi Mji Mkuu Katanga kwenye ofisi za wafanya biashara

AGOSTI 13, 2024
Border
news image

Serikali ya Kongo, kupitia Waziri wa Biashara, ya waalika waendeshaji wafanya biashara wa Katanga kuwekeza zaidi katika kilimo, kwa sababu watafaidika na kurizika na serikali, na hii kujiepusha na mgogoro wa mahindi katika maeneo makubwa ya Katanga na Kasai na hivyo kujitegemea kuliko kutegemea chakula kutoka mataifa jirani kama Zambia.

Julien Paluku Kahongya waziri wa bishara wa DRCongo ametoa mwito kwa wananchi wa katanga wakati wa mkutano wa kimkakati ambao ulishirikisha wa fanya biashara wa Kongo katika shitika la FEC Grand Katanga kuhusu kufungua upya Mipaka ya DRC na Zambia tangu Jumanne, na hii, bila masharti na mavuno mazuri yaliyofikiwa na DRC mwishoni mwa mazungumzo ya pande mbili na Zambia ambayo imejitolea kufuatilia mgawanyiko wa bidhaa zinazopitia ardhi yake kuelekea DRC ili kupiganisha hali mbaya ya matumizi ya biashara kwenye mipakainayo sababisha viwanda vya Kongo kuto kuwa na samani .

Zambia na Congo DR C imeweka makubaliano ya biashara kati ya nchi hizo mbili. ombi la DRC ambayo ikiwa ni kuunganisha ulinzi wa uzalishaji wake wa ndani.

Pamoja na , bidhaa zenye asili ya Zambia ambazo zitaingia DRC kama ilivyoainishwa na ubaguzi uliomo katika mfululizo wa hatua za Serikali zinazozuia uingizaji wa muda wa baadhi ya bidhaa aliongeza Waziri wa Biashara ya Nje.

Msemaji wa Serikali alima mzozo kati ya Zambia na DRC kuhusu bishara utapata suluhisho la haraka pamoja na wafanya biashara wa Zambia,na shirika la wanyabiashara la Congo FEC Grand Katanga malalamiko yao itawasilishwa kwenye ofisi za serikali hasa kweye wizara yake .

Huku kukiwa pendekezo za vifaa vinavyo takiwa kutoka Serikalini ili kuongeza kilimo katika swala hilo .

Mpango huu wa Serikali unaojumuisha kuinua kilimo na kuipa taifa njia zisizopungua 3 za kuhamisha madini na bidhaa nyingine, unakaribishwa na Gavana wa Haut-Katanga, Jacques Kyabula, ambaye tayari ameunga mkono ufufuaji wa kilimo katika jimbo lake.

Kuhusu hali ya usawa katika kwenye mpaka wa mataifa mawili cha Kasumabalesa, Waziri wa Biashara ya Nje alitangaza kwamba nguvu ya umma ya Serikali lazima itumike ili kukatisha tabia hii ambayo inasababisha hazina ya umma kupoteza pesa za Serkali.

AM/MTV News DRC