Serikali ikisema kuwa juhudi za kutafuta ama kuondoa mili ilio baki katika meli ikiwa imeshindikina kutokana na urefu wa Ziwa na tatizo la gesi wasema wana maji walio itwa kutafuta mabaki ya mili na na meli.idadi kamili ya watu walio fariki Dunia ikiwa haijulikane na wengine Zaidi ya hamsini wakiwa ndio wali okolewa wakiwa hayi.
Gavana wa Kivu kusini Muheshimiwa Purusi asema ,sababu kubwa ya ajali ikiwa Rushwa na uongozi mbaya ikiwa katika sababu kubwa ya ajali nyingi majini.gavana wa Kivu Kusini amesema kwa sasa wataanzisha juhudi za kuwafunza wana maji kwa ajili ya kusaidia uukozi katika katika ziwa Kivu Kivu ambako hushudiwa ajali nyingi ziwani.
Hadi sasa serikali ya Congo ilitangaza wvifo vya watu ishirini na nane ,na wengine ambao idadi yao haijulikane na mili yao ikiwa haija patikana . shirika za kiraia ikiomba kuwe mabadiliko katika secta mbali mbali za uongozi wa serikali hasa secta ya ushafiri.
Purusu nanasema kuna njia nyingi za rushwa zinazo anadama DRC na kusababisha kukosekana kwa maendeleo .vijana wa Lucha kwa upande wao wakiomba Rais wa Congo kuja Goma na kufungua barabra zote zinazo kwamisha usafiri kwa waakaazi wa Goma .