DRC

Mitihani ya siku nne ya kiserikali kwa watoto wa somo la sita yaanza kote DRC pamoja na Kivu Kaskazini

JUNI 24, 2024
Border
news image

Gavana wa kijeshi wa Kivu Kaskazini, Meja Jenerali Peter Cirimwami,andesha Sherehe Rasmi za kuanzishwa kwa mitihani ya kiserikali kwa watoto wa mwaka wa mwisho kwa watoto wa somo la sita la secondari Kote Kivu Kaskazini Mshariki mwa Congo DRC .

Wahitimu wa shule na wanafunzi wa mafunzo ya ufundi walianza kufanya mtihani ya serikali Kote nchini DRC pomoja na koa wa Mzozo wa Kivu Kaskazini Jumatatu hii. Serikali ikisema wanafunzi 62,595 wakiwemo wasichana zaidi ya 50.9% watashiriki wote mitihani hiyo yatakayofanyika kwa muda wa siku 4 katika vituo 203 vikipatikana katika maeneo yasiyo mbali mbali pamoja na Kigali katika taifa Jirajini la Rwanda .

Wahuzuiriaji 3,258 waliofurushwa na vita kutoka wilayani Rutshuru, Nyiragongo na Masisi wanashiriki mtihani huu katika vituo vilivyoanzishwa kwa ajili yao katika Kata la Mugunga , Lac Vert na Ndosho, Katika Mji wa Goma kufuatia vita vilivyo zuka bado vijiji vyao.

Wanao kimbia vijiji vya Beni wakimbwa nao kwenda kwenye miji yenye usalama kama ya Butembo na Beni.

Mitahani hiyo ikiwa inawaruhusu wanafunzi kuingia Univasity baada ya kuhitimu na kufanikiwa ama kufaulu.

Wengi wakiendesha kitihani wakiwa katika hali ya wasiwasi kubw akutokana na uasi na mashambulizi ya waasi.

AM/MTV News DRC