DRC

Makamanda Kutoka Sadec Wakubaliana Kuhsirikiana Kuhusu Operesheni za Kurejesha Amani Mashariki Mwa Congo

MACHI 02, 2024
Border
news image

Akizungumuza na wanahabari katika Kambi ya KIJESHI ya Mumbambiro Katika Mji wa Sake wilayani Masisi kIVU KASKAZINI Meja Generali EKENGE msemaji wa Jeshi la Congo FARDC asema hatua kali zimechukuliwa kuhakikisha usalama katika Mji wa Goma na sake zinachukuliwa kulinda wananchi wa Congo hasa Goma miji inayo tishiwa na uasi wa M23.

Ekenge masema waasi wa M23 waliharibu kuzuia viongozi wa jeshi kufika katika Mji wa SAKE wakati walipo vurumisha mizinga tano kulenga musafara wa viiongozi wa kijeshi walio kuwa wakilekea Sake kutazama hali halisi lakini Bomu hizo ziwli waua Watu watatu .jeshi limesema vitisho vya M23 haviwezi kuwazuia kuendele na operesheni za kijeshi.

Makamanda kutoka Africa Kusini,Tanzania na Malawi pamojan Burundi wamekutana kwa siku tatu mfululizo katika Mji wa Goma ambao unapakana na Taifa la Rwanda na pembeni ya Ziwa Kivu .huo ukiwa mkutano wa kwanza tangu wanajeshi kutoka mataifa hayo yawasili kwenye uwanja wa mapigano kushirikiana na jeshi la Congo FARDC katwangana na M23 ambayo ina saidiwa na mataifa Jirani ya DRC.

Hadi sasa hatu zilizo chukuliwa zabaki siri za kijeshi ,huku wakaazi wakiomba SADEC kuwajibika na kuwapa amani wananchi wa Congo.

AM/MTV DRC ONLINE