Wakivaa nguo nyeusi na mabango vijana na wasichana katika Mji wa Butembo waefanua maandamano makubwa ilio ongozwa na vijana katika Mji wa Butembo Kivu Kaskazini mashariki mwaa Congo ,waakaazi walio kuwa wakibeba mabango na kuvaa nguo nyeusi walionekana barabarani wakiekelea kwenye kambo kuu ya jeshi la Congo FARDC katika Mji wa Butembo na wengine waliekea kwenye ofisi ya mea wa Mji huo.
Waandamanaji wakiunga mkono jeshi tiifu kwa serikali katika harakati za kupambana na waasi wa M23 na kupinga mazungumuzo yoyote kati ya raisi wa CongoDRC Felix Tshisekedi kujiepusha kuweka mikataba na waasi wa M23 .
Eneo la Beni na Butembo lapitia hali ngumu na mbaya ya usalama kutokana na na mauaji inayo tekelezwa na waatu wanao dhaniwa kuwa ADF na upande mwengine waasi wa M23 ambao wana lazimisha wakaazi kuhama vijiji vyao na kuwa wakaimbizi wa ndani.
Kwa mara ya kwanza waandamanaji walifanya maandamano ya amani ambayo hata hivyo ilipongezwa na kiongozi wa Mji wa Butembo n ahata uongozi wa kijeshi.