TANZANIA

MA MIYA ZA WANAMGAMBO WILAYANI ITURI WASAHINI MUKATABA WA KUSITISHA MAPAMBANO MKOANI ITURI.

JANUARI 31, 2024
Border
news image

Wanamgambo wengi mukiwemo wa zaire wasaini mukataba wa kusitisha mapigano wilayani Ituri. Hiyo imetokeya baada ya wito ulio tolewa naye Rais Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo kwa viongozi wa vikundi mbali mbali vienye kumiliki silaha kinyume na sheria. Vijana hawa Wapiganaji kutoka eneo nyingi mtaani Djugu kaskazini mwa Bunia. Walikuja jiunga na mupango wa kusalimisha silaha ambao ume andaliwa na serekali Ya DRC kupitiya DDRCS.

Vijana hawa Wapiganaji, wali kuja mjini Bunia kwa ajili ya kujiunga na mupango huo wa usalimishwaji . Sherehe za ku wapokeya zili endeshwa hii juma tatu tarehe ishirini na tisa elfu mbili ishirini na ine kunako shule la musingi la serekali ya Drc mjini Bunia. Ili kuwa mbele ya viongozi wa jimbo la Ituri ikiwemo liwali makamu wa jimbo pamoja na wana memba kadhaa wa almashahuri ya usalama jimboni.

Viongozi wa almashahuri ya usalama wa jimbo la Ituri, walitoa wito kwa vijana hawa, kwa kuheshimu mukataba ambao wame sahini kwa ajili ya kutafuta amani na usalama wilayani Ituri.Wali waomba piya kuto fwata maneno ya machochezi inayo weza kuwapeleka kando ya lengo wanalo.

Mutafahamu ya kwamba, vijana hawa wapiganaji waliripoti ya kwamba, ni tangu mwaka elfu mbili kumi na tisa ndipo wali chukua silaha kwa ajili ya kujihami kama vile katiba ya inchi ina sema ili kujipiganiya dhidi ya vikundi vienye kumiliki silaha vilivio kuwa vikizorotesha usalama maeneo yao alizungumuza musemaji wa kundi hilo.

NDIWELUVULA BIN MUTUME MTV NEWS Online