DRC

Kampuni ndogo ya fedha ya Kongo TID yafungua milango yake Mjini Goma Kivu kaskazini mashariki mwa Congo DRC

OKTOBA 19, 2024
Border
news image

Société de Microfinance Congolais (TID) ikiwa taasisi ndogo za fedha, hivi majuzi iliashiria hatua mpya katika safari yake kwa kuzindua wakala wake wa 4 Mjini Goma.

TID kwa sasa yapatikana nambari 015, Commune of Goma/barabara Nzumuka James, jimboni Kivu Kaskazini, wakala huu unawakilisha dhamira thabiti kwa maendeleo ya kiuchumi ya eneo hili na mabadiliko ya maisha ya wajasiriamali wa ndani.

Maono ya TID, ya kuwa kampuni ndogo ndogo ya kigezo cha ukaribu wa kudumu ambao unachangia ipasavyo ustawi wa kijamii na kiuchumi kwa watu wa kipato cha chini wanaofanya kazi nchini DR Congo.

Kusimamiwa vyema kwa uwazi, kunachukua sura kupitia upanuzi huu. Kwa kutoa suluhisho ya haraka iliyochukuliwa kulingana na mahitaji ya wakazi wa eneo hilo, SMICO SA inachangia kikamilifu kuboresha hali ya maisha kwa kuhimiza maendeleo ya shughuli za kuzalisha mapato.

AM/MTV News DRC