Akizingumuza na wanahabari baada ya kukutana na gavana wa kivu Kaskazini Pamoja na makanada wengine wakijeshi jeshi la Congo FARDC Meja Generali Ibrahim Mik Muhona amesema kwa sasa wamekuja Mjini Goma wakiungana na timu la makamanda kutoka Jumhia nzima ya kusini mwa Africa yaani SADC kutasmini hali halisi ya kiusalama Pamoja na kufanya ukaguzi maalumu wa vikosi na zana za silaha walizo nazo.
Generali Ibrahim Muhona amesema wanajeshi wao kwa sasa wako tayari kukabiliana na uasi hasa wa M23 na kundi linguine lolote ambalo walaweza tataizo usalama wa wanachi kwani kwa sasa nguvu zimeongezeka.
SADC hifi karibuni itatimiza mwaka mmoja wakiwa mashariki mwa congo baada ya wanajeshi kutoka EAC kurudi nyumbani ,hadi sasa wanajeshi Zaidi ya kumi wa SADC wakiwa wamsha poteza Maisha na wengine kukamatwa.
Shirika za kiraia zikiomba jeshi hilo kutumia nguvu Zaidi ili wakaazi wapate amani na usalama akisema Karpak Tulinabo kutoka shirika mpya la Kiraia na mtetezi wa haki za binadamu akiwa Goma.
wanajeshi karibuni kumi wa SADC wameshafariki Dunia na wengine kujeruhiwa kwakushambuliwa na waasi wa M23 katika mji wa Sake wilayani masisi magharibi mwa Mji wa Goma.lakini bado wakiendelea na ushirikiano wake na serikali ya Congo DRC.