DRC KIBIRIZI

HALI YA YAENDELEA KUWA YA WASIWASI KATIKA MJI WA KIBIRIZI WILYANI RUTSHURU KIVU KASKAZINI MASHARIKI MWA CONGO.

MACHI 07, 2024
Border
news image

Akizungumuza na MTV DRC ONLINE mkaazi mmoja alie kimbilia pembezoni mwa Mji wa Kibirizi asema mchana wa leo hakuna risasi ilio sikika ila aliona waasi wa M23 wakiwa Mjini wakichoma kambi za jeshi la Congo kwenye milima inayo zunguuka mji wa Kibirizi.mkaazi huyo anaekuwa mafichoni asema sikitiko kubwa kwao nikuona watu wanakimbia kwa Mguu hadi Rwindi ama Kanyabayonga n ahata Vichumbi wakihufia Maisha yao kuogopa mashambulizi.

Mkuu kiongozi wa bunge la Vijana MUFULA asema ni hatari kubwa kuona M23 imebaki sasa na uongozi wa SOMIKIVU ikiwa eneo muhimu la madini muhimu Duniani nah ii itawapa uwezo mkubwa waasi wa M23 iwapo wataanza kuchimba madini inayo patikana wilayani Rutshuru Kivu Kaskazini .

Waasi wa M23 walichukuwa vijiji vingi juma tano toka katika mikono ya serikali .vijiji hivyo ikiwa Kibirizi,kikuku ,Chirima na vingine vingi ambavyo vilikuwa muhimu kwa usalama wao 

AM/MTV