TANZANIA

FELIX TSHISEKEDI wa congo ahuzuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mpya wa Africa Kusini

JUNI 19, 2024
Border
news image

Akiongoza ujumbe maalumu ,Rais wa Congo Felix Tshiskedi ameshiriki le juni kumi na nane sheria sherehe za kuapishwa Rais wa Africa Kusni Cyril Ramaphosa baada ya uchaguzi ulio fanyika mwishoni mwa wiki ,Tshisekedi ni Miongoni mwa viongozi wengine wa Africa ambao walialikwa na serikali ya Africa Kusini ambako wananchi wa Africa kusini wameshuhudia Rais Mpya alie chaguliwa na chama chama chake.

Cyril ramaphosa ana miaka sabini na mmoja na huu ukiwa muhula wake wa pili kuchaguliwa kwa mara nyingine na chama chake.Africa Kusini inashiriki juhudi za kutafuta amani mashariki mwa Congo ambako wanajeshi wake wapo katika kikosi cha Umoja wa Mataifa MONUSCO na wengine wakiwa katika Kikosi cha SADC ambao lengo kubwa ni kupambana na mwakundi ya waasi hasa lile la M23 ambalo serikali yasema nitishio kwa usalama wa DRC.

Maelfu ya wananchi wa Africa kusini wameshiriki sherehe hizo na wengine wakishiriki kupitia mitandao na televisheni uapisho wa ramaphosa ,kukiwa jua kali ,Africa kusini ina sehemu mbili ,Weusi na wazungu ambao kila mara huwania uongozi wa taiafa hilo.Utafahamu kwamba Uchumi wa Africa kusini asili mia samanini ina milikiwa na wazungu.

AM/MTV News DRC