DRC

DRC wanahabari nchini DRC waomba serikali kuunga mkono juhudu na mikakati ya uhuru wa vyombo na wanahabari hasa eneo la Vita mashariki mwa Congo.

MEI 03, 2024
Border
news image

Leo ikiwa siku ya uhuru wa Habari nchini DRC wanahabari wamekuwa wakipitia changamoto kubwa tangu vita M23 na jeshi la serikali ya Congo FARDC vita ambavyo haviruhusu wanahabari kufikia taarifa kamili kwenye vijiji nae neo zinazo dhibitiwa na waasi kama vile Rutshuru,Masisi na sehemu moja ya Nyiragongo.

Wanahabari mashariki mwa Congo wamekosa uhuru upande mmoja na kulazimika kufanya propaganda za serikali kutoka na vitisho toka kwenye vyombo vya usalama na hali ya kisiasa namna inavyoendelea nchini humo.

Maisha ya wanahabari imekuwa hatarini wanapo kwenda kuiripoti eneo la Vita n ahata wengine wakizuiliwa kufikia taarifa zenye kuhusu usalama.mjin wa Goma ukiwa umesha zunguukiwa na waasi wa M23 imekuwa vigumu kwa wanahabari kuafanya kazi yao kwa ueledi na kuto egemea upande wowote kama inavyo hitajika .

AM/MTV DRC ONLINE