DRC

MUTU MOJA AKAFARIKI DUNIA NA NA VITU VIENGI VYA ZAMA MAJINI, BAADA YA DARAJA MOJA MUHIMU KUVUNJIKA PA KIBALI.

FEBRUARI 28, 2024
Border
news image

Daraja kibali linalo unganisha Mji wa Durban na muji wa Wacha lime vunjika usiku wa kuamkia juma inne na saha moja za jioni. Gari moja aina fuso ilio kuwa ibeba na kusafirisha mbao ndio ilisababisha daraja hilo kuvunjika kutokana na kupakia kiasi cha kupindukia.

Taarifa za sasa zasdema mtu mmoja ndie alifariki dunia wakati wa ajali hiyo mbaya na gari kuzama katika muto. Hi juma inne ,ili kuwa vigumu sana kwa abaria kuendelea na safari zao kutokana daraja hilo muhimu kuharibiwa na lori lenye mizigo mizito.

Daraja hilo limejengwa kwa viuma na mbao lime weza kuharibiwa na lori Kuto heshimu kanuni za uchukuzi za bidhaa, ndani ya gari yaani kubeba mizigo zaidi ya toni inayo takiwa kubebwa ndani ya gari. Hali hiyo ime vuruga Shughuli mbali mbali za usafirishaji na bishara ya Walio wengi .

Wakaaji wa eneo la wacha walio kuwa Durban walitatizika kuondoka kwenye vijiji vyao wakiomba suluhisho.

MTV