Balozi wa Tanzania nchini Congo DRC muheshimiwa Saidi Juma Mshana apongeza Mradi wa Reli ya Umeme ambayo imezinduliwa leo Nchini Tanzania ikiwa na umuhimu kwa mataifa ya Africa mashariki , kanda ya maziwa makuu na Africa.
Muheshimiwa Balozi Saidi Juma Mshana apongeza hata hivyo jitihada zinazofanywa na Marais wa Jamhuri ya ,Muungano wa TANZANIA ,URT, DRC na BURUNDI katika kuunganisha Nchi hizo na Ukanda wa Maziwa Makuu.
Hii ikiwa nikuboresha na kukuza Miundombinu ikiwemo (SGR )Stand Reley Way ,iwapo mradi huo utakamilika utasaidia katika kusafirisha mizigo nawatu, Pamoja kurahisisha uwekezaji ,,Biasha ,na Masoko Pamoja kuunganisha wananchi mataifa hayo.
Muhimu Zaidi ikiwa ni kutatua changamoto ya ukosefu wa ajira kwa kundi ya vijana ,ambao wengi humaliza shule na kubaki nyumbani katika baadhi ya mataifa.
Mradi huo utasaidia ajira na saidia kuimarisha Hali ya amani na utulivu katika eneo la maziwa makuu na Africa kwa ujumla.