DRC KINSHASA

BAADA YA UCHAGUZI ULIO PITA WABUNGE WAIDHINISHWA NA KUKUBALIWA RASMI

FEBRUARI 14, 2024
Border
news image

Baada ya uchanguzi wa Decemba elfu mbili ishirini na tatu iliopita wabunge wote walio chaguliwa wamekubaliwa na kuanza vikao vyao Bungeni Mjini Kinshasa huku wengine wakienda mahakamani kupinga matukio .Wabunge hawa wakiweka Ofisi ya Muda ambayo inasimamiwa na mbunge anae kuwa na umri mkubwa Pamoja na wa Umri mdogo .

Baada ya mujadala ilio endeshwa bungeni, wabunge walio chaguliwa wakiendelea kubaki kwenye madaraka yao hasa kwenye nyazifa za mawaziri huku katika ikiwaomba kuchagua kubaki bungeni ama kuachia wasaidizi wao. katiba ya Congo DRCongo ina kataza mutu kufanya kazi mbili za serekali kwa muungo mumoja. Miongoni mwa wana bunge hao, huku wabunge hao wakiomba kuandika Barua rasmi kuhusu nini wanacho kitaka ,wamoja wakiwa na nafasi kwenye bunge la Taif ana hata Mikoani

Wabunge wakiombwa kuchagua watabaki katika Bunge la Taifa ama bunge za mikoa laa sivyo hatua itachukuliwa na sheria .mashirika ya kiraia iliomba watu wote walio chaguliwa kama wabunge kutoshirikishwa katika serikali kwakupisha watu wengine kupata nafasi serikalini.

NDIWELUVULA BIN MUTUME MTV DRC ONLINE