DRC

Gavana wa Kivu kaskazini mashariki mwa Congo PETER CIRIMWAMI aomba wanajeshi na wazalendo wote kujizuiza kutembea na silaha Mjini Goma .

Aprili 15, 2024
Border
news image

Hii nikufatia mauaji na ambayo imekita mizizi na kuzorotesha usalama Mjini Goma mlio ya risasi ikisikika kila siku jioni .katika wiki moja visa vingi vya mauaji ya uporaji wa mali vimeshuhudiwa katika Mji wa Goma ,watu wenye silaha wakiwatwanga risasi na kupora pesa Mjini Goma.

PETER CIRIMWAMI alisema hayo baada ya mkutano kabambi .mkutano ulio wakutanisha walendo kutoka kivu kuisini ,kivu kaskazini ,Maniema na Ituri kutoka makundi mbali mbli ya wapiganaji.

Kwa sasa kume shuhudiwa ukosefu wa usalama mwingi mjini Goma matukio inayo sababisha watu wengi kuhama makaazi yao na wengine kuishi kwa wasiwasi kubwa .Mji wa Goma kwa sasa ina idadi kubwa ya wapiganaji wazalendo kama vile jeshi tiifu kwa serikali Pamoja na kikosi cha SADC ,MONUSCO wote wakiombwa kuhudumisha usalama wa wakaazi.

AM/MTV DRC ONLINE