DRC GOMA

GAVANA WA KIJESHI KIVU KASKAZINI PITER CHIRIMWAMI ATEMBELEA WAKIMBI WA VITA KATIKA KAMBI MBALI MBALI PEMBEZONI MWA MJI WA GOMA .

JFEBRUARI 21, 2024
Border
news image

Zaidi ya watu laki moja walikimbia makazi yao wamejiunga na kambi za IDP kaskazini mwa mji wa Goma. Hali ambayo inaelemea serikali na washirika wake wa kibinadamu waliofika kuwaokoa wahanga hao wa vita vya M23. Hakuna huduma ya afya, hakuna chakula, maji, na usalama, walitangaza wakimbizi katika kambi ya Lushagala, Nzulo, Bulengo na Mugunga mbele ya Gavana wa kijeshi Peter Cirimwami.

Uchunguzi iliyofanywa na mamlaka ya Mkoa pamoja na kamati za kiufundi na washirika wake , faranga milioni 20 za Kongo zilitolewa hatua zingine zikiendelea kujengwa ikiwa ni pamoja na: kuwafukuza M23 kwa ajili ya kuwarudisha nyumbani watu waliokimbia makazi yao ya asili alisema gavana Cirimwami kwa wakimbizi.

Mkuu wa mkoa ilisimama mara kadhaa kuzungumza kibinafsi na watu waliohamishwa makaazi yao kutoka Shasha, Karuba, Sake, kwa ufupi, wilayani Masisi walio wengi.

Hali ya hii ya machafuko ikipekea watu wengi kupoteza maisha .wakimbizi wakisema wacho hitaji na kurudi nyumbani kwao .

AM/MTV DRC ONLINE