DRC

DRC /WATU WAUWAWA NA MANGODOMU MANGINA MAGHARIBI MWA MJI WA BENI

Aprili 02, 2024
Border
news image

Hali ya wasiwasi kwa sasa imeripotika miongni mwa wakaazi wa mangina na kando kando baada ya watu nne kupatikana barabarani wameuwawa na watu wenye silaha wanao dhaniwa kuwa ADF .vyanzo mbali mbali vyasema ni tangu wiki moja kulikuwa na wasiwasi mashambani kuhusu watu wanao dhaniwa kuwa ADF kuonekana mashambani lakini vyombo vya usalama vikipuuuza taarifa za wakaazi.

Mchana wa leo watu wenye silaha walitwanga risasi ,kuchoma Dukan a kupora viti vya watu katika Mji wa mangodomu ikiwa eneo la karibu na Mji wa Mangina unao patika magharibi mwa mji wa Beni.vijana walio onekana mitaani wakiona mili ikizagaa barabarani ,miongoni mwao wasichana na vijana ambao walikuwa wakitumia pikipiki kwa kusafiri.

Wiki mbili sasa wakaazi walianza kutoa taarifa mbali mbali kwa viongozi kuwa kuna wasiwasi ya kutokea mauaji ya watu lakini vyombo vya usalama viki puuza ,taarifa za wakaazi haijulikane kwa sabau gani wakisema viongozi wa vijana katika Mji wa Mangina. Sio mara ya kwanza taarifa ka a hizo za kuwpo kwa waasi kupuuzwa na jeshi ama polisi eneo eneo la Beni .wataalumu wakitaka kufahamu nani anae husika na mauaji hayo ya mara kwamara wakati kuna operesheni za kijeshi za muda mrefu. Hadi tukenda hewani wakaazi wangine wamehama vijiji vyao na kukimbilia Mji wa Beni kuhufia Maisha .

AM/MTVĀ DRCONLINE.