DRC

DRC WASIWASI KWA WAKIMBIZI KUTOKANA NA VITA MASHARIKI MWA CONGO.

March 20, 2024
Border
news image

Wakimbizi wa vita mashariki mwa Congo hasa wale wanao ishi katoka kambi mbali za Bulengo ,Mugunga na na pembezoni mwa Mji wa sake waishi kwa wasi wasi kubwa kutokana na bomu kuingia watu ,Bomu zinazo toka upande wa M23 .

David MMoja wa wakimbizi wanao ishi katika kam bi ya Bulendo asema kwa sasa waishi hoga Tumboni kutokana na bomu kuanguka pembeni ya Kambi zao wakiwa hawana sehemu nyingine ya kukimbilia,David alikimbi Kijiji cha Kichanga wilayani Masisi ambako alikimbia mapigano ya M23 na jeshi la serikali.

Kambi ya Bulengo ni mmoja wapo wa kambi Zaidi ya tisa zina zunguuka Mji wa Goma ,kambi hi ikipatikana kwenye kimote Zaidi ya sit magharibi mwa Mji wa Goma pembeni ya ziwa Kivu ambako vilevile kuna tatazi la Mazuku ama Gaz inayo sababisha vifo vya wakimbizi. Wakimbizi mashariki mwa Congo kwa sasa wakikabiliwa na uhaba wa Chakula ,Dawa ,Maji n ahata vifaa muhimu kwa wanawake kambini ambako maelefu ya Watoto wame kosa masomo.

Baadhi ya wakimbizi kwa sasa wakisema hawahitaji kitu kiingine kuliko kurudi kwao kwani msaada ya mara kwa mara isio tosha haiwezi wasaidia ,wengi kwa sasa wakibakwa hasa wanawake wanapo kwenda tafuta kuni porini na wengine kufariki Dunia kutokana namaisha magumu.

AM/MTV DRC ONLINE