DRC

DRC SIKU YA KIMATAIFA YA MAJI DUNIANI

MACHI 22, 2024
Border
news image

Leo ulimwengu washerekea siku yam aji maji ikiwa Maisha kwa wanadamu na viumbe vyote Duniani,ikiwemo mimea ,Wanyama na wanadamu wote .siku hii imefika watika dunia inashuhudia joto kali katika mataifa mengi ya Africa kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Katika eneo mbali mbali na vijijini wakaazi wengi hawaja pata maji safi ,Pamoja na miji mikubwa mikubwa kukiwa maji lakini yasio mazuri kwa wanadamu.DRC ina maji mengi ya mito hata kwenye visima ,wakaazi wa vijiji wakiomba serikali kufanya ijtihad azote ili wafanikiwe kupata maji mazuri na safi.

Siku hii imefika wakati wakimbizi wanao ishi katika kambi mbali mbali walalamikia ukosefu wa maji na kuogopa kuzuka kipindu pindu kutokana na ukosefu wa maji kambini .watoto wengi wakipoteza Maisha katika kambi zinazo zunguuka mji wa Goma kutokana na kuhara ama kwa ukosefu wa tib ana chakula.

DRC ina mistu chungu nzima ila kukiwa ukosefu wa miradi muhimu yam aji kwa wkaazi wake wakitumia maji mavchafu ,kama Mji wa Goma ambako wakaazi hutumia maji ya ziwa ikiwa tishio kwa afia ya wananchi kutokana kwamba ndani yake kuna virusi kutoka Volkeno na Gesi. Maji ya ziwa Kivu ni shida na tatizo kwa afia ya wananchi wataalamu wa afia wasema.

AM/MTVĀ DRCĀ ONLINE.