DRC

DRC SERIKALI KIVU KASKAZINI YATOA MSAADA WA DOLA ELFU KUMI KWA WAATHIRIKA WA MVUA KATIKA KAMBI YA BULENGO MAGHARIBI MWA MJI WA GOMA.

MACHI 15, 2024
Border
news image

Akizungumuza na umati wa watu katika kambi ya bulengo magharibi mwa Mji wa Goma.Meja Generali Peter Cirimwami amsema yeye na kamati yake yaani serikali ya Mkoa wa Kivu Kaskazini emechangia msaada wa Dola elfu kumi kwa wakimbizi walio hathirika na mvua kali zilizo nyesha na kuwawau watu kambini akiwemo mama mmoja na mtoto,Pamoja na kuwajeruhiwa watu wegine ishirini.

CIRINIMWAMI aliandamana nae EMMANUELA GENTIL kutokla shirika la FONAREV likiwanshiriki la kiserikali lillo wekwa na Rais wa Congo kwa ajili ya kusaidia watu wanao tendewa vitendo vya kinyama hasa Ubaki .EMMANUEL amesema shirika lao litasaidia Watoto mayatima walio achwa na familia ilio uwawa kwa muti wa kati wa mvua n ahata kuwapa hema watu wanao kuseshwa makaazi.

EMMANUELA amesisitiza kwamba ikiwa alikwenda kambini Bulengo ni kwa ajili ya kutazama kiuhalisi tukio mbaya la Mvua kali ilio haribu na kuwawaua wakimbizi .shirika lao na lile la Mke wa Rais wa Congo DENIS NYAKERU wataungana kwa ajili ya kusaidia watu wanao hathirika na ukiukwaji wa haki za binaadamu hasa wanao pitia vitendo vya ubakaji.

Gavana Crimwami kwa upande wake ameomba wakaazi kuwa watulivu kwani juhudi zinafanyika kwa ajili ya kutafuta amani ,juhudi ambazo haziwezi kwenda kwenye vyombo vya Habari ila wakaazi sana wakimbizi wawe na Subira .

AM/MTV DRC ONLINE