DRC

DRC MAPIGANO MAKALI KATI YA WAZALENDO NA M23 PEMBEZONI MWA MJI WA SAKE KIVU KASKAZINI MASHARIKI MWA CONGO.

MACHI 27, 2024
Border
news image

Ni tangu asubui ndipo mlio wa risasi ulianza sikika kwenye milima inayo zunguuka Mji wa Sake wilayani Masisi Kilometa Zaidi ya ishrini magharibi mwa Mji wa Goma .mapigano inayo husisha waasi wa M23 na wapiganaji wazalendo kwenye milima ya Sake. Mkaazi tulie zungumuza nae asema mapigano ni makali na mlio wa siala ukisikika kote Sake kwenye milima ya VUNANO,RUTOBOKO,KIMOKA ,MURANGA .

Mashirika yenye kutetea haki za binaadamu ikomba ulinzi wa wakimbizi wanao patikana karibu nae neo la Mapigano ambako wame weka kambi zao kuhufia Maisha .mapigano kati ya wazalendo na M23 imekuwa ikiripotika kila siku kwenye milima ya Mji wa SAKE ambako waasi wa M23 wameweka Ngome zao kubwa bila kutikisika .

Eneo la Sake kuna kikosi cha SADEC ,MONUSCO na wadau wengine Pamoja na jeshi la serikali .mapigano hayo yakifanyika katika uangalizi wa Kikosi cha Umoja wa Matifa MONUSCO ambao wako DR kwa Zaidi ya miaka ish

MTV