DRC
Jeshi la wanainchi wa Uganda UPDF la omba wa kaaji wa Butembo na Beni kuwa watulivu
Akizungumuza na wakaaji wa kata la furu Mjini Butembo, mmoja wa makamanda wa jeshi la Uganda UPDF asema hakuna hata mwana njeshi wa jeshi lao kutoka Uganda atakae ondoka kwenye mstari wa mapambano wilayaani Lubero, bila amri kutoka kwa uongozi wa nchini Uganda .